Mpira wa miguu Tanzania juu

Mchezo wa mpira wa miguu ni moja ya mchezo unaokuwa kwa kasi sana hapa nchini hivyo kupelekea kukua kwa wingi wa mashabiki wa mchezo huo. Kutokana na mafanikio na ushindani wa klabu kubwa za michezo kama Simba na Yanga zimefanya soka la bongo kupaa sans na kutambulika sehemu mbalimbali hapa Afika na Duniani kwa ujumla. Mpira wa miguu unatarajiwa kukua kwa kasi sana kwa siku zijazo kutokana serikali kuunga mkono michezo hasa mpira wa miguu na pia kuwepo kwa wadhamini kwa timu na ligi kwa ujumla kama fano Bank ya NBC, Azam TV, Sportpesa, M-bet, GSM.

Comments