Game moja wapo ya kutupia macho leo ni mechi ya Yanga dhidi ya Geita Gold. Mechi hii kila mmoja anataka matokeo upande wa Yanga wanataka wapate pointi 3 wazidi kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi huku kwa Geita Gold wao wanataka point 3 ili kujiweke katika nafasi nzuri katika msimamo wa ligi. Hivyo mchezo utakuwa na ushindani wa kutaka matokeo.
Utabiri wetu ni Young Africans - WIN
Comments
Post a Comment