Odds Za Leo

 


Mchezo wa leo:

Simba SC V Mashujaa FC

Hii ni moja ya mechi nzuri sana leo ya kuitolea macho, ambapo wekundu wa msimbazi Simba watamenyana na Mashujaa kutoka kigoma katika kuzisaka pointi tatu.

Utabiri wa leo:

Katika hii mechi kila mmoja anataka pointi tatu ili kuwa katika nafasi nzuri zaidi katika msimamo wa ligi. Lakini Simba ina nafasi kubwa kushinda kutokana na nafasi yake na ubora walio nao dhidi ya Mashujaa. Pia Simba anapata presha kubwa kutokana na matokeo mazuri ya mpizani wake Yanga, hivyo itawalazimu wana msimbazi kushinda hii mechi.

Simba SC - WIN

Comments