Mechi ya Leo:
Osasuna V Real Madrid
Hii ni mechi ambayo inakutanisha timu zilizo katika nafasi mbili tofauti katika msimamo wa ligi ya LaLiGa.
Katika hii mechi Madrid anataka ushindi ili azidi kujikita kileleni kujihakikishia nafasi ya kushinda ubingwa msimu huu.
Na kwa upande wa Osasuna anatamani apate matokeo mazuri kupata pointi zitakazomuweka katika nafasi nzuri katika msimamo wa LaLiGa.
Utabiri wetu kwa mechi hii ni:
Real Madrid - WIN
Comments
Post a Comment