Mechi ya leo:
Azam V Young Africans SC
Hii ni mechi nzuri sana na ya ushindani siku hii ya leo katika uwanja wa Benjamin William Mkapa, ambapo kila mmoja anataka matokeo kupata pointi 3 za kujiongezea nafasi ya kunyakua ubingwa wa ligi kuu Tanzania.
Azam anatamani kupata point 3 kutoka kwa Yanga maana ni moja ya mpinzani wake mkubwa katika mbio za ubingwa. Pia Azam anatamani kulipa kisasi cha kipigo alichopewa na Yanga katika mzunguko wa kwanza cha 3-2.
Yanga anatamani kushinda mechi hii ili kujikita zaidi kileleni kuwaacha Azam aliye nafasi ya pili na Simba aliye nafasi ya tatu.
Utabiri wetu:
Young Africans SC - WIN
Comments
Post a Comment