Simba uso kwa uso na Singinda Black Stars

 

Mechi hii kali itachezewa siku ya leo jumamosi katika dimba la CCM Liti huko mkoani Singinda majira ya saa 10 kamili jioni.

Je, leo ni Simba Ngumu moja au wazee wa alizeti watalisha Simba punje za kutengenezea mafuta? 
Maswali haya yote yatapata majibu leo jioni.

Comments