Heri ya Sikukuu ya Uhuru 9 December

 


Siku ya December 9 ni siku ya muhimu kwa Tanzania kusherehekea uhuru wake kila mwaka. Na leo tunafurahia siku hii tukiwa na mapunziko katika shughuli za kilasiku kama ilivyotangazwa na Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba hapo jana.

Tutumie fursa hii watanzania kupunzika kufanya maombi kwaajili ya ustawi wa Taifa letu na kuweka mipango ya maendeleo kwa siku za usoni tukiendelea kuenzi matunda ya uhuru wetu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika, Amina🙏

Comments