Simba vs Azam (Mechi ya Kibabe Kabisa)

 Mechi kali kati ya Simba na Azam itapigwa hapo kesho katika dimba la Mkapa majira ya saa 11:00 jioni.

Mechi hiyo itarushwa live na kitui cha televisheni ya AzamTv. Je wewe utakuwa uwanjani au utakuwa ukitizama live kwa tv?

Comments